Wednesday, November 5, 2014

Chief Editor wa Steps Entertaimen,ANASHEREHEKIA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTARAJIA KUPATA MTOTO.

Anajulikana kwa jina la Mussa Omar, ndio jina lake la kiserikali, Upande wa Tasnia unaweza kumuita Samrani,
Leo ni siku muhimu sana kwake huadhimisha siku yake ya kuzaliwa kila ikifika siku kama ya leo.
Mara nyingi katika tasnia ya Film tumekua tukiwafahamu wasanii,Wapiga picha,Directors na wengi neo wengi wanaoonekana kwa TV ama kuandikwa majina yao kwa Screen zetu tunapotazama hizo film za kibongo.

Mtu kama Chief Editor wa Steps Entertaimen, Ni mtu ambae muhim sana katika tasnia hii japo kua wengi wetu hatumfahamu kwa Sura,
HAPPY BIRTHDAY BROTHER. uptowntz.blogspot.com. imemtakia siku njema ya kuzaliwa.

Kama kawaida yangu nilichapa nae Stori kupitia mtandao wa kijamii Whatsupp soma hapa.

Mungu atafanya wepesi na INSHAALLAH mke wako atajifunga salama.

0 comments:

Post a Comment