Thursday, November 6, 2014

HII NDIO SABABU INAYOMFANYA ROSE MUHANDO ASIPANDE JUKWAANI NCHINI KENYA


Taarifa tulionayo ni kwamba mwanamuziki wa Injili Rose muhando alitarajiwa kutua nchini kenya kwa ajili ya kufanya show,
Baada ya malalamiko ya kua Rose muhando amekua hatokei kwenye matamasha anayoalikwa siku za hivi karibuni, wengine wakaenda mbali zaidi na kusema kua hua anawatapeli waandaaji wa matamasha mbalimbali
Yeye mwenyewe amekuja na sababu hii hapa
 kwamba muimbaji imekuwa katika hospitali kwa siku kadhaa baada ya kufanyiwa upasuaji mguu wake,

0 comments:

Post a Comment