Wednesday, November 5, 2014

KING POZZA FT UNIQUE VOICE - UMENISHINDA (ZENJI MUSIC)

Toka Visiwani Zanzibar King Poza ameachia mkwaju mwengine mpya akiwa kama Solo Artist, Mkwaju umetengenezwa ISLAND RECORDS,Chini ya Producer ALONEM, Tunajua kua king puza ni mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la ZEE TOWN SOLDIERZ,Likiiwakilisha vizuri sana Zanzibar katika mziki wa huu pendwa wa kizazi kipya, akiwashirikisha UNIQUE VOICE, ameachia mkwaju unaoitwa,UMENISHINDA. Usikilize hapa leo hii

0 comments:

Post a Comment