Wednesday, November 5, 2014
Home »
» Account ya Habida bado inashikiliwa na Hackers soma kilichoandikwa kwa Account hiyo ya FB ni aibu
Account ya Habida bado inashikiliwa na Hackers soma kilichoandikwa kwa Account hiyo ya FB ni aibu
Wiki ya tatu sasa Tangu ukurasa wa Facebook wa msanii mahiri toka 254 naizungumzia Kenya, HABIDA kushikiliwa na hackers ambao bado Hwajajulikana,
Hackers hao wamekua wakipost nasty posting kila kukicha.
Check hizi ni miongoni mwa post zilizopostiwa na Hackers kupia ukurasa wa Facebook wa Habida
0 comments:
Post a Comment