Tuesday, November 4, 2014

Hii ndio zawadi toka kwa mwanae Nyota ndogo

Katika hali ya kurudisha upendo kwa mama tumeona vijana wengi sana wakifanya mambo makubwa kwa mama zao, ama kujitoa  kwa hali na mali kwa ajili ya mama zao,
Toka kenya leo tumeona mtoto wa msanii maarufu wa mziki toka 254 Nyota ndogo akipokea zawadi toka kwa mtoto wake wa kiume,
Nyota ndogo alishangazwa na zawadi hiyo toka kwa mwanawe iangalie hii hapa.
Hivi ndivyo staa huyu alivyo shangazwa na mtoto wake wa kiume wewe je? unaonaje picha hiyo ya kuchora inafanana na NYOTA NDOGO?
 

0 comments:

Post a Comment