Sunday, November 9, 2014
Thursday, November 6, 2014
HII NDIO SABABU INAYOMFANYA ROSE MUHANDO ASIPANDE JUKWAANI NCHINI KENYA
Taarifa tulionayo ni kwamba mwanamuziki wa Injili Rose muhando alitarajiwa kutua nchini kenya kwa ajili ya kufanya show,
Baada ya malalamiko ya kua Rose muhando amekua hatokei kwenye matamasha anayoalikwa siku za hivi karibuni, wengine wakaenda mbali zaidi na kusema kua hua anawatapeli waandaaji wa matamasha mbalimbali
Yeye mwenyewe amekuja na sababu hii hapa
kwamba muimbaji imekuwa katika hospitali kwa siku kadhaa baada ya kufanyiwa upasuaji mguu wake,
Wednesday, November 5, 2014
Account ya Habida bado inashikiliwa na Hackers soma kilichoandikwa kwa Account hiyo ya FB ni aibu
Wiki ya tatu sasa Tangu ukurasa wa Facebook wa msanii mahiri toka 254 naizungumzia Kenya, HABIDA kushikiliwa na hackers ambao bado Hwajajulikana,
Hackers hao wamekua wakipost nasty posting kila kukicha.
Check hizi ni miongoni mwa post zilizopostiwa na Hackers kupia ukurasa wa Facebook wa Habida
BABA NA MWANA WAZALIWA PAMOJA
Hii ni Historia kubwa yaandikwa leo toka kwa Chief Editor wa Steps Entertainment, Musa Omar a.k.a Samran ,Amejaaliwa kupata mtoto wa kike leo ikiwa ni siku yake ya kusherehekia Birthday yake,
Baba na mwana tarehe moja ya kuzaliwa,
Hongera sana Samrani,Blogu hii inachukua nafac ya kukupongeza kwa kupata mtoto wa kike
Baba na mwana tarehe moja ya kuzaliwa,
Hongera sana Samrani,Blogu hii inachukua nafac ya kukupongeza kwa kupata mtoto wa kike
Chief Editor wa Steps Entertaimen,ANASHEREHEKIA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTARAJIA KUPATA MTOTO.
Anajulikana kwa jina la Mussa Omar, ndio jina lake la kiserikali, Upande wa Tasnia unaweza kumuita Samrani,
Leo ni siku muhimu sana kwake huadhimisha siku yake ya kuzaliwa kila ikifika siku kama ya leo.
Mara nyingi katika tasnia ya Film tumekua tukiwafahamu wasanii,Wapiga picha,Directors na wengi neo wengi wanaoonekana kwa TV ama kuandikwa majina yao kwa Screen zetu tunapotazama hizo film za kibongo.
Mtu kama Chief Editor wa Steps Entertaimen, Ni mtu ambae muhim sana katika tasnia hii japo kua wengi wetu hatumfahamu kwa Sura,
HAPPY BIRTHDAY BROTHER. uptowntz.blogspot.com. imemtakia siku njema ya kuzaliwa.
Kama kawaida yangu nilichapa nae Stori kupitia mtandao wa kijamii Whatsupp soma hapa.
Mungu atafanya wepesi na INSHAALLAH mke wako atajifunga salama.
Leo ni siku muhimu sana kwake huadhimisha siku yake ya kuzaliwa kila ikifika siku kama ya leo.
Mara nyingi katika tasnia ya Film tumekua tukiwafahamu wasanii,Wapiga picha,Directors na wengi neo wengi wanaoonekana kwa TV ama kuandikwa majina yao kwa Screen zetu tunapotazama hizo film za kibongo.
Mtu kama Chief Editor wa Steps Entertaimen, Ni mtu ambae muhim sana katika tasnia hii japo kua wengi wetu hatumfahamu kwa Sura,
HAPPY BIRTHDAY BROTHER. uptowntz.blogspot.com. imemtakia siku njema ya kuzaliwa.
Kama kawaida yangu nilichapa nae Stori kupitia mtandao wa kijamii Whatsupp soma hapa.
Mungu atafanya wepesi na INSHAALLAH mke wako atajifunga salama.
KING POZZA FT UNIQUE VOICE - UMENISHINDA (ZENJI MUSIC)
Toka Visiwani Zanzibar King Poza ameachia mkwaju mwengine mpya akiwa kama Solo Artist, Mkwaju umetengenezwa ISLAND RECORDS,Chini ya Producer ALONEM,
Tunajua kua king puza ni mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la ZEE TOWN SOLDIERZ,Likiiwakilisha vizuri sana Zanzibar katika mziki wa huu pendwa wa kizazi kipya, akiwashirikisha UNIQUE VOICE, ameachia mkwaju unaoitwa,UMENISHINDA. Usikilize hapa leo hii
FUNGA MWAKA & CAMP COMPETITION KUFANYIKA ZANZIBAR MWEZI HUU.
Katika kufunga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015,Mashindano ya Kucheza mziki a.k.a Dance yanatarajiwa kufanyika mwezi huu visiwani Zanzibar tarehe 21/11/2014, katika ukumbi wa Magereza,
Mapema leo asubuhi nilikua nachapa story kupitia mtandao wa kijamii Whatsupp na Queen Shinella toka visiwani Zanzibar alinihabarisha kuhusiana na Mashindano hayo pia yeye akiwa mmoja kati ya washiriki wa Shindano hilo.
Queen Shinella kushoto akiwa na Rafiki yake.
Mambo yalienda hivi asubuhi ya Leo
Tuesday, November 4, 2014
FID Q KUNYOA RASTA ZAKE NA HII NDIO STYLE ATAKAYONYOA. SOMA HAPA
Siku za hivi karibuni alipokua akifanya mahojiano na Clouds fm Radio kupitia kipindi cha XXL Fareed Kubanda a.k.a. FID Q alisema kua kutokana na Joto la Dar, atalazimika kunyoa Rasta zake bila kutaja Style gani ya nywele atanyoa,
Leo hii amekuja na hili jipya jengine kuhusu kunyoa nywele zake pamoja na style ya unyoaji.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Fid Q amesema yupo mbioni kupunguza rasta zake kwa lengo la kujiweka tofauti na jinsi ilivyo. Ameileza uptowntz.blogspot.com
Mwanamuziki huyo alisema kimsingi akishamaliza kupunguza rasta, atanyoa kabisa nywele zake kwa mtindo wa unga na alipoulizwa zaidi alisema anataka kujibadilisha ili aongeze pia mashabiki wake.
Alisema si jambo la kwanza kwa wasanii kuamua kubadili staili zao za mavazi au mitindo ya nywele na mara nyingi ushahidi unaonyesha kuwa kwa kufanya hivyo hata muziki nao soko lake linapanda.
JANET JACKSON AONEKANA HADHARANI BAADA YA MWAKA MMOJA WA NDOA
QUEEN DARLIN AKATAA ZAWADI YA GARI TOKA KWA DIAMOND.SOMA HAPA!!!
Siku ya leo msanii Queen Darleen anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, Alifanya mahojiano na moja kati ya Blogu maarufu hapa mchini Bongo Clan na aliulizwa maswali kama haya,
ni vitu gani hua anafanya siku kama ya leo na Queen alisema ” Siku kama ya leo inapofika saa 6 (Usiku) kama mwili wangu haupo msafi basi natia udhu kisha naanza sala na kumuomba mwenyezi Mungu kwa sababu kuna kuugua na pia kuna kufakwa najaribu kumuomba mwenyezi Mungu anisaidie uhai mrefu”
Alipoulizwa kuhusu kama atafanya sherehe, Queen Darleen alisema ” Sijawahi kufanya sherehe mimi kama mimi lakini leo marafiki zangu wakina Mwasiti, Almasi, K Star Diamond kina shilole wote wameamua kunifanyia kitu hapa nyumbani kwangu kuanzia saa 2 usiku, mi sijui ni kitu gani watanifanyia. Kwa hiyo suprise lakini nimesema sitaki zawadi ya gari, nimeshampa warning kabisa Diamond”
Unaweza sikiliza mahojiano yetu na Queen Darleen kwa urefu zaidi hapa chiniii…
Chanzo BongoClan
NEW HIT:Chidi Benz-Kimbiza.
Baada ya dhiki faraja,Baada ya kua nje kwa dhamana mwana toka Ilala amekuja na mkwaju huu hapa.usikilize
Hii ndio zawadi toka kwa mwanae Nyota ndogo
Katika hali ya kurudisha upendo kwa mama tumeona vijana wengi sana wakifanya mambo makubwa kwa mama zao, ama kujitoa kwa hali na mali kwa ajili ya mama zao,
Toka kenya leo tumeona mtoto wa msanii maarufu wa mziki toka 254 Nyota ndogo akipokea zawadi toka kwa mtoto wake wa kiume,
Nyota ndogo alishangazwa na zawadi hiyo toka kwa mwanawe iangalie hii hapa.
Toka kenya leo tumeona mtoto wa msanii maarufu wa mziki toka 254 Nyota ndogo akipokea zawadi toka kwa mtoto wake wa kiume,
Nyota ndogo alishangazwa na zawadi hiyo toka kwa mwanawe iangalie hii hapa.
Hivi ndivyo staa huyu alivyo shangazwa na mtoto wake wa kiume wewe je? unaonaje picha hiyo ya kuchora inafanana na NYOTA NDOGO?
Sunday, November 2, 2014
UNATAKA KUJUA NANI KATOLEWA NJE YA JUMBA LA BBA JIBU LIPO HAPA.
Listi ya washiriki waliobaki ndani ya jumba la Big Brother Africa imezidi kushuka tena jana uskiku, muda wa saa 3 hivi kwa saa za Tanzania tumeshuhudia washiriki wengine watatu wakitolewa ndani ya Jumba hilo, nao ni Kacey Moore ambaye alikuwa anawakilisha Ghana, Luis mwakilishi wa Namibia, na Arthur mwakilishi wa Rwanda kumefanya idadi ya washiriki waliotoka mpaka sasa kufikia washiriki kumi, wanne kati yao ni wa kiume na wa kike sita. Hizi ni baadhi ya picha za matukio wakati washiriki hao wakiwa wanatolewa.