Monday, September 17, 2012

DJ.MAARUFU ZANZIBAR AMEKUA MUWAKILISHI KTK BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM


Mh.Husein Ibrahim makungu akiapishwa Rasmi kua Muwakilishi wa wananchi wa Jimbo la Bububu na Mh.Ghalib Bilal makamu wa Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kufuatia ushindi alioupata katika uchaguzi mdogo uliofanyika.
    Nikukumbushe kua mh.Husein a.k.a Dj.Bhaa ni mmoja kati ya madjz maarufu sana Znzbar pia anamiliki Night Club 2 pamoja na kituo kimoja cha Radio kinachojulikana kwa jina la Bhaa fm kilichopo Zanzibar.huo ni kwa upande wa Entertainment.
Wadau wa mbalimbali walimpongeza kupitia mtandao wa kijamii FB.mmoja kati ya hao ni Mkurugenzi wa Radio maarufu hapa Zanzibar Bomba fm.Namzungumzia GURU RAMADHAN.a.k.a Dady G.
Check na hii hapa.



21 hours ago 

Hongera Dj Bhaa Kwa Kuwa Mheshimiwa Mwakilishi Bububu kupitia CCM.....Allah Bless U

0 comments:

Post a Comment