Mwimbaji Sean Kingstone alipoonekana kwenye Bata huko Marekani alijibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka kufahamu kuhusu gari la kifahari aliloonekana nalo.

Kingstone ambae ni rafiki mkubwa wa mwimbaji Justine Bieber alisema hilo gari amepewa kama zawadi na Justine Bieber ambae alichoka kulitumia hilo gari ambalo ameshawahi kukamatwa nalo mara kadhaa kwa makosa mbalimbali ikiwemo mwendo kasi.
0 comments:
Post a Comment