Thursday, September 13, 2012

Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Zanzibar Alipotembelea Bomba fm Radio

Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Zanzibar Mr.Said Ally Mbarouk alipotembelea Bomba fm Radio Zanzibar na kuongea na wafanya kazi wa Radio
hiyo.
Baadhi ya wafanya kazi wa Bomba fm wakitokelezea na waziri wa Habari Zanzibar.
Mkurugenzi wa Bomba fm akitokelezea na waziri wa Habari.

0 comments:

Post a Comment