Thursday, September 13, 2012

UHURU KENYATTA AGEUKIA MEDIA


Uhuru kinyata sasa aigeukia tasnia ya media baada ya kumiliki vituo vitatu vya Radio sasa inasemekana kua yupo njiani kumiliki kituo cha nne.Uhuru Kenyatta anamiliki Kameme FM, Meru FM and Mbaitu FM, zote zipo chini ya MediaMax. sasa  anatajwa kua anakaribia kuinunua Milele fm.

0 comments:

Post a Comment