Thursday, September 13, 2012

VIFAA VYA STUDIO YA BARNABA TAYARI VIPO BONGO


Barnaba ameiambia uptowntz kua tayari vifaa vyake vipya kwa ajili ya studio yake mpya vimeshawasili na ametaja ni moja kat ya vitu vilivyo mgharimu pesa nyingi sana hivyo vifaa.Lakini pia amefunguka juu ua hili hapa.
Msanii nyota anayetingisha kwenye anga za muziki wa kizazi kipya nchini Barnabas Elias ‘Barnaba’ yuko mbioni kuzindua staili yake mpya ya uimbaji inayoambatana na muonekano mpya wa mavazi pamoja na mtindo wa nywele ambayo atatumia kwa ajili ya kutoa burudani kwa mashabiki wake

0 comments:

Post a Comment