Wednesday, September 26, 2012
Pah one washika na Silaha za moto

PAH ONE wamejikuta wakiingia mikononi mwa police baada ya kukutwa na silaha. Ukiacha mziki wasanii hao wamejiingiza ktk fani ya movie wakiwa njiani kushoot movie yao ya action maeneo ya Sinza police waliwaotea na kuwakamata na silaha na kuwapeleka kituoni baadae iligundulika kua Silaha jizo kumbe ni bandia Toiz ambazo.Wapo nje kwa dhamana.
Tuesday, September 25, 2012
Sean Kingston Apewa zawadi ya Gari na Dogo.
Mwimbaji Sean Kingstone alipoonekana kwenye Bata huko Marekani alijibu maswali ya waandishi wa habari waliotaka kufahamu kuhusu gari la kifahari aliloonekana nalo.

Kingstone ambae ni rafiki mkubwa wa mwimbaji Justine Bieber alisema hilo gari amepewa kama zawadi na Justine Bieber ambae alichoka kulitumia hilo gari ambalo ameshawahi kukamatwa nalo mara kadhaa kwa makosa mbalimbali ikiwemo mwendo kasi.
Kolabo kati ya Avril na AT wa Miduara Limeshindikana

Avril toka 254 Kenya alishindwa kuingia kwenye Style ya AT wa Miduara hivyo basi Kolabo kushindikana.
AT alisafiri had Nairobi ktk Studio za Ogopa DJ na kukutana na Avril alimuandikia mashairi na kumpa

melody hata hivyo zilimshinda kuimba Avril,hata hvyo ngoma hiyo alikua afanye na Juliana wa Uganda.Baada ya kumkosa ndipo alipoamua kumpa Avril Shavu.alilazimika kurudi Tanzania Bila mafanikio AT.
J.Martini kutoa New hit Song Sep 29

J Martins anatarajiwa kuachia single yake mpya siku ya (29 September).ambayo ni birthday.
Monday, September 24, 2012
Rihanna Interview With Elvis Duran iHeartRadio [2012]

Siku chache baada ya kutokea kwa tetesi kuwa Rihana yuko mbioni kuachia album yake ya saba, mwenyewe ameamua kuthibitisha katika interview alioifanya na Elvis Duran wa iHeart Radio kuwa ataachia single ya kwanza ya album hiyo inayoitwa Diamonds siku ya jumatano ya tarehe 26 september yaani wiki ijayo
Album ya Pitbull November 18th

Pitbull anatarajiwa kuachia album lake November 18th, mwaka huu hii ni kwa mujibu wa Billboard
Tuesday, September 18, 2012
WIZ,UMBER HADHARANI NAMNA HII

Mara baada ya kutangaza hadharani kuwa wanatarajia kupata mtoto hatimae mwanamitindo Umber Rose na Wiz Khalifa,wameonekana hadharani katika sehemu za burudani huku Wiz akioneka akiwa mwenye furaha kubwa tofauti na zamani.
Monday, September 17, 2012
DJ.MAARUFU ZANZIBAR AMEKUA MUWAKILISHI KTK BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR KWA TIKETI YA CCM

Mh.Husein Ibrahim makungu akiapishwa Rasmi kua Muwakilishi wa wananchi wa Jimbo la Bububu na Mh.Ghalib Bilal makamu wa Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania,kufuatia ushindi alioupata katika uchaguzi mdogo uliofanyika.
Nikukumbushe kua mh.Husein a.k.a Dj.Bhaa ni mmoja kati ya madjz maarufu sana Znzbar pia anamiliki Night Club 2 pamoja na kituo kimoja cha Radio kinachojulikana kwa jina la Bhaa fm kilichopo Zanzibar.huo ni kwa upande wa Entertainment.
Wadau wa mbalimbali walimpongeza kupitia mtandao wa kijamii FB.mmoja kati ya hao ni Mkurugenzi wa Radio maarufu hapa Zanzibar Bomba fm.Namzungumzia GURU RAMADHAN.a.k.a Dady G.
Check na hii hapa.
Hongera Dj Bhaa Kwa Kuwa Mheshimiwa Mwakilishi Bububu kupitia CCM.....Allah Bless U
- 16 people like this.
- Ibrahim Tuwa Deeeejay Bhaaa Ametisha! Wasanii wa Bongo Fleva wamempata Mr II aka Sugu na Sisi Madeejay Tumempata Deejay Bhaa!! Mimi Cna Chama lkn nimefurahi Dj Mwenzetu kupata nafasi Adimu Kama hiyo.
Saturday, September 15, 2012
DJ FLASH WA POMBA FM ACHUKUA JIKO.

FLASH WA PEKEE
Mtangazaji maarufu pia Dj wa kituo cha radio maarufu zanziba Bomba fm SADICK ALLY A.K.A FLASH WA PEKEE amechukua jiko Rasmi na hivi ndivyo mambo yalivyo kua.

mkurugenzi wa Bomba fm GURU RAMADHANI kulia



Baadhi ya Wasanii wa Znzbar waliohudhuria.
Friday, September 14, 2012
Thursday, September 13, 2012
Waziri wa Habari Utamaduni,Utalii na Michezo Zanzibar Alipotembelea Bomba fm Radio

hiyo.

Baadhi ya wafanya kazi wa Bomba fm wakitokelezea na waziri wa Habari Zanzibar.

Mkurugenzi wa Bomba fm akitokelezea na waziri wa Habari.
VIFAA VYA STUDIO YA BARNABA TAYARI VIPO BONGO
Barnaba ameiambia uptowntz kua tayari vifaa vyake vipya kwa ajili ya studio yake mpya vimeshawasili na ametaja ni moja kat ya vitu vilivyo mgharimu pesa nyingi sana hivyo vifaa.Lakini pia amefunguka juu ua hili hapa.
Msanii nyota anayetingisha kwenye anga za muziki wa kizazi kipya nchini Barnabas Elias ‘Barnaba’ yuko mbioni kuzindua staili yake mpya ya uimbaji inayoambatana na muonekano mpya wa mavazi pamoja na mtindo wa nywele ambayo atatumia kwa ajili ya kutoa burudani kwa mashabiki wake
UHURU KENYATTA AGEUKIA MEDIA

Uhuru kinyata sasa aigeukia tasnia ya media baada ya kumiliki vituo vitatu vya Radio sasa inasemekana kua yupo njiani kumiliki kituo cha nne.Uhuru Kenyatta anamiliki Kameme FM, Meru FM and Mbaitu FM, zote zipo chini ya MediaMax. sasa anatajwa kua anakaribia kuinunua Milele fm.
Quick Rocka Afungua Studio yake

Msanii wa bongo fleva anaetamba na ngoma ya katika kwa Sasa Abbot Charles a.k.a Quick Rocka.amefunguka kua anampango wa kufungua Studio yke maeneo ya Sinza Dsm na amesema kua Studio hiyo itaitwa Big Step chini ya Lebo ya 255.
Tuesday, September 11, 2012
Monday, September 10, 2012
Mwasiti Ala Sahani moja na AKON
Mwasiti apata Shavu la kufanya ngoma mbili na Producer aliyewahi kufanya ngoma za Akon anaejulikana kwa jina la HAKIM ABDULSAMAD.ambae ametengeneza Mama Africa,B wth u,Clup Again.lakini pia mkali huyo ameshafanya kazi na mwanamuziki anaeshikiria nafac ya kwanza kwa utajir baran Africa,Youssundou wa Senegal.
Thursday, September 6, 2012
BYE BYE FUNDI SAMWELI

Producer na muimbaji wa Studio za Usanii Production Fundi Samweli anatarajiwa kuondoka nchini mwezi ujao.Habari nilizozipata ni kwamba Producer huyo ataondoka na mke wake anaejulikana kwa jina la Sarah ambae amefanya vzur ktk ngoma ya Akili.
Taarifa nyingine zinaeleza kua Fundi Samwel hatorudi Tena Tanzania na Studio hizo kwa wakati huo zitakua chini ya Producer ZIDADY.

Sarah & Fundi Samweli

Mwanamuziki mwenye vituko vingi Lady Gaga amefananishwa na mnyama baada ya kuvaa mavazi yaliyofanana na mnyama. Gaga alivaa hivyo wakati alipokwenda katika Hoteli ya Skt.Petri ambapo alikwenda kwa ajili ya kupata burudani
Gaga wakati anatoka kwenye Hoteli hiyo jijini Copenhagen , Denimaki alishangaa kukuta mashabiki wengi wanamsubili njee kumuona , wengine walifananisha mavazi hayo aliyovaa na mnyama jambo ambalo lilimuongezea umaarufu nchini humo.

Baada ya Tukio hilo Diva huyo ameibuka na hili Tatoo yake mpya ambayo ameitangaza siku za hivi karibuni ikiwa na alama ya Nanga kwa watu wapwani wanajua inamaanisha nn?.
Tuesday, September 4, 2012
Monday, September 3, 2012
Smail wa kichefu chefu aanzisho Reality TV Show

Mkali toka visiwa vya marashi ya karafuu anaetamba na ngoma yake ya Nichekeche zamani Kichefu chefu SMAIL najipanga kufanya TV show niligonga nae Sound mkali huyo wa Style ya vanilla amenifahamisha kua kati ya kesho ama kesho kutwa wataanza kushut baadhi ya vipande vya Reality Show hiyo ambayo itarushwa na moja kati ya vituo vya Runinga hapa nchi.
Nilijaribu kutaka kujua ni kituo kipi cha Runinga kitaonesha show hiyo?kwa mujibu wa smail ameniambia kua muda ukifika utasema na mtaona.
kila la kheri kijana.
Jinsi ya kuwapigia kura AY na Cpwaa kwenye tuzo za Channel O
AY na Cpwaa wametajwa kuwania tuzo kwenye Channel Music Video Awards 2012. Kilichobaki ni watanzania kuwapigia kura kwa wingi ili tuzo zije nyumbani.
Hivi ndivyo unavyotakiwa kufanya.
AY MOST GIFTED VIDEO OF THE YEAR
AY ft Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 14J kwenye simu yako na tuma ujumbe kwenda +27 83 920 8406 (makato ni ya meseji ya kawaida)
MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO
AY ft Sauti Sol – I Don’t Want To Be Alone andika 13C kwenda +27 83 920 8406
MOST GIFTED MALE VIDEO
AY ft. Romeo & Lamyia – Speak With Your Body andika 1E kwenda namba hiyo juu
MOST GIFTED DANCE VIDEO
Cpwaa – Hmmm andika 5F kwenda namba hiyo hiyo.
Unaweza kupiga kura kwenye website ya Channel O
Linex ft Keko

