Saturday, December 22, 2012

SEBASTIAN MUSIC KUSAKA VIPAJI 2013


katika kuendeleza harakati za mziki wa kizazi kipya Zanzibar studio mpya imefunguliwa maeneo ya mpendae

Kwa mujibu wa msemaji wa Studio hizo ameuambia mtandao wa Uptowntz kua studio hizo zimepewa jina la SEBASTIAN MUSIC,Amemtaja Producer atakaehusika kwa jina JOHN TM.

kumbwa zaidi amesema kua mwaka 2013 watafanya Audition ya kutafuta vijana watatu watakao pata Lebo na studio hizo.
Form tayari zimeshaanza kutolewa kwa ajili ya zoezi hilo.

Hii ni habari njema sana kwa wakazi wa Zanzibar wenye vipaji.

0 comments:

Post a Comment