Wednesday, December 5, 2012

ALIEKUA PRODUCER WA DAYNAMIC REC AWEKWA RUMANDE


John Tm ni mmoja kati ya maproducer wanaotambulika hapa Zanzibar,mara ya mwisho alikua anafanya kazi chini ya Studio iliyopo maeneo ya KIDONGO CHEKENDU.
      Kilichotokea ni kwamba CEO wa Studio hiyo alikua anampa wakati mgumu Producer huyo kwa kuitumia studio hiyo kwa mambo yake Binafsi kama vile mitandao ya kijamii FB na Twitter.owner huyo alikua akitumia muda mkubwa kuchat kupitia Computer ya studo etc
       Baada ya sintofaham hiyo John kama producer alifutwa kazi na kua nje ya Studio hizo,Siku mbili baadae Mmiliki huyo wa Studio alitangaza kua Studio hizo zimeibiwa vifaa na kumshikilia John na baadhi ya wasanii,Jeshi la Polisi liliwashilia na kuwatupa Selo kwa masaa takriban 3.
Nilipozungumza na John aliniambia kua huyo jamaa anataka kumtengenezea mazingira magumu ya kazi yake na uaminifu wake kwa watu,ila ukweli halisi kua Studio hizo hazijavunjwa hata kidogo,amesema suala la kuibiwa hawezi kulizungumza coz hafaham.

0 comments:

Post a Comment