Tuesday, December 11, 2012

RAY C AMEPONA NA ANAMSHUKURU SANA RAIS KIKWETE KWA MSAADA WA MATIBABU ALIOMPA

Rehema Chalamila a.k.a Ray C amemshukuru raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete kwa msaada wa matibabu yaliyomsaidia kwa kiasi kikubwa kupona maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.
Mwana bongo fleva huyo aliyevuma na jina la ‘kiuno bila mfupa’ pamoja na mama yake mzazi walifunguka wakati wakiwa katika maeneo ya Ikulu ya Tanzania na wakiwa na raisi Jakaya Kikwete wakitoa shukurani zao za dhati face.

0 comments:

Post a Comment