
Mwinyi Goha ampigia Goti Jay dee ataka kurudishwa kundini.
Kinachoonekana kama maisha kumpiga hivi muimbaji huyo wa zamani wa machozi band amemuomba Jay Dee kumrudisha Machozi Band,
Mwinyi aliondoka machozi mwaka huu na kudai amechoshwa na uongozi wa kibabe na Dharau
0 comments:
Post a Comment