
Inawezekana kabisa kuwa Rihanna na Chris Brown walikuwa wamekaa kwenye mstari mzuri wa mapenzi kwa kipindi hiki, lakini weekend hii imevuruga mpangilio wa mstari huo na kuwarudisha nyuma kwenye mvurugano.
Ripoti zinasema Rihanna amechukizwa sana na kitendo cha Breezy kuspend muda wake siku ya ijumaa na ex-girlfriend wake mwanamitindo Karruache Tran nchini Ufaransa weekend wakati yeye akiwa mapumzikoni peke yake
0 comments:
Post a Comment