Sunday, July 31, 2016
Thursday, July 28, 2016
DIDA AZUNGUMZIA MALENGO YA TV REALITY SHOW YAKE INAYOTARAJIA KUANZA HIVI KARIBUNI
Tumeshuhudia mastar wengi wamekua wanakuja na tv reality show zao ili kuwaonesha mashabiki zao mambo mbali mbali kuhusu mziki na kazi nyingine wanazozifanya
Dida ni msanii anaefanya vizuri sana hapa nyumbani Zanzibar ametangaza kuja na tv reality show yake inayokwenda kwa jina la harakati za wasanii
itakayoanza wiki ijayo kipindi hicho cha tv kitarusha na tifu tv ' unajua hii show nimeianzisha na lengo lake nikujua kazi za wasanii pamoja na maisha yao yaani faida na hasara wanazozipata katika kazi zao vile vile ikiwa ni pamoja na kusapoti kazi za wasanii wa Zanzibar na nje ' amesema dida
Hitmake huyo wa kanipapase amewataka mashabiki kusapoti show yake hiyo ili kujua mambo muhimu wanayofanya wasanii wao
Saturday, July 23, 2016
WAKALI HAWA WAKIKUTANA KWENYE NGOMA MOJA UNADHANI NINI KITATOKEA ?
Hata wewe unaweza kujiuliza maswali na unatamani maswali yako yakapata majibu hapa Zanzibar kuna wasanii wengi wakali na wana kubalika na kila mtu lakina unaweza ukawa unatamani msanii flani afanye kollabo na flani iliupate ladha unayoitamani
Hawa ni baadhi ya mastar ambao watu wanatamani kuwasikia kwenye ngoma moja
Smile the ginious na Abramy the voice
Hawa jamaa wana ushikaji wa muda mrefu sana na kipindi cha nyuma walikua na project yao ikifahamika kama wavanilla walikua wasanii watatu abramy smile na nassir lakini mpaka hili kundi linasambalatika hatukuwahi kusikia ngoma
WATU WENGI WALIDHANI BEEF UMEZINGUA PROJECT YETU MPYA= HUZZA BLACK
Wiki mbili zilizopita kulikua na post kwenye mitandao ya kijamii zilizokua zinaashiria ugomvi kati ya huzza black na cool kaka
post hizo za majibishano zilisababisha watu wengi kujiuliza maswali pasipokua na majibu sasa leo huzza black amefunguka kuhusiana na kilichokua kinaendelea kati yake na coolkaka
' unajua watu wengi walidhania tuna beef mimi na coolkaka ukweli ni kwamba hatunatatizo mimi na cool kaka isopokua tunaproject yetu inaitwa umezingua soon itakamilika'
Hitmaker huyo wa my wife to be aliendelea kufunguka huku akidai yeye na cool kaka wanaheshimiana sana tofauti na watu wanavyowafikiria
katika hatua nyingine huzza b amewaomba mashabiki wakae tayari kupokea mzigo mpya uitwao umezingua ngoma hiyo imefanyika katika studio ya Jupiter record

BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MUBA CRISS KUJA NA HII
Baada ya kimya cha muda mrefu mmsanii wa mziki wa kizazi kipya muba criss anatarajia kuachia ngoma yake mpya jumanne hii
ngoma hiyo imefanyika island record chini ya producer bob chidy jina langoma hiyo inaitwa haufanani amempa shavu mkali mwingine wa Zanzibar smile Wednesday, July 20, 2016
Saturday, October 3, 2015
Thursday, October 1, 2015
Dance with Peter, Episode 1
HOOD C AKIZUNGUMZIA MZIKI WA ZANZIBAR, TONGWE REC, NGOMA YAKE MPYA NA JOSE MTAMBO, LUNDUNO NA Mr. BLUE. HII HAPA AUDIO ISIKILIZE.
Mzaliwa wa Zanzibar ambae anafanya mziki wake pande zote mbili kwa maana ya Zanzibar na Tanzania bara,
Hapa anazungumza na Mkali Nesta kuhusu mustakabali mzima wa maisha yake ya mziki nini kipya toka kwake, wapi anafanya kazi zake Lunduno nakadhalika.
UNAWEZA KUMSIKILIZA HOOD C HAPA AUDIO NNAYO.
Hapa anazungumza na Mkali Nesta kuhusu mustakabali mzima wa maisha yake ya mziki nini kipya toka kwake, wapi anafanya kazi zake Lunduno nakadhalika.
UNAWEZA KUMSIKILIZA HOOD C HAPA AUDIO NNAYO.