Baada ya kimya cha muda mrefu mmsanii wa mziki wa kizazi kipya muba criss anatarajia kuachia ngoma yake mpya jumanne hii
ngoma hiyo imefanyika island record chini ya producer bob chidy jina langoma hiyo inaitwa haufanani amempa shavu mkali mwingine wa Zanzibar smile Saturday, July 23, 2016
Home »
» BAADA YA KIMYA CHA MUDA MREFU MUBA CRISS KUJA NA HII
0 comments:
Post a Comment