Thursday, July 28, 2016

DIDA AZUNGUMZIA MALENGO YA TV REALITY SHOW YAKE INAYOTARAJIA KUANZA HIVI KARIBUNI

Tumeshuhudia mastar wengi wamekua wanakuja na tv reality show zao ili kuwaonesha mashabiki zao mambo mbali mbali kuhusu mziki na kazi nyingine wanazozifanya
Dida ni msanii anaefanya vizuri sana hapa nyumbani Zanzibar ametangaza kuja na tv reality show yake inayokwenda kwa jina la harakati za wasanii

itakayoanza wiki ijayo kipindi hicho cha tv kitarusha na tifu tv  '  unajua hii show nimeianzisha na lengo lake nikujua kazi za wasanii pamoja na maisha yao yaani faida na hasara wanazozipata katika kazi zao vile vile ikiwa ni pamoja na kusapoti kazi za wasanii wa Zanzibar na nje  '  amesema dida 
Hitmake huyo wa kanipapase amewataka mashabiki kusapoti show yake hiyo ili kujua mambo muhimu wanayofanya wasanii wao

0 comments:

Post a Comment