Hata wewe unaweza kujiuliza maswali na unatamani maswali yako yakapata majibu hapa Zanzibar kuna wasanii wengi wakali na wana kubalika na kila mtu lakina unaweza ukawa unatamani msanii flani afanye kollabo na flani iliupate ladha unayoitamani
Hawa ni baadhi ya mastar ambao watu wanatamani kuwasikia kwenye ngoma moja
Smile the ginious na Abramy the voice
Hawa jamaa wana ushikaji wa muda mrefu sana na kipindi cha nyuma walikua na project yao ikifahamika kama wavanilla walikua wasanii watatu abramy smile na nassir lakini mpaka hili kundi linasambalatika hatukuwahi kusikia ngoma
0 comments:
Post a Comment