Sunday, July 31, 2016
Home »
» ALICHOKISEMA MUBA CRISS KUHUSU MAPOKEZI YA WIMBO WAKE
ALICHOKISEMA MUBA CRISS KUHUSU MAPOKEZI YA WIMBO WAKE
Msanii wa mziki wa kizazi kipya zanzibar muba criss amefurahishwa na mapokezi ya wimbo wake mpya uitwao haufanani akizungumza na zenji promo jumamosi hii muba amesema
;; unajua kitu chochote ukikifanya kwa wakati utaona mafanikio binafsi sikutegemea kama ndani ya siku tano naweza kupata mapokezi makubwa kama haya yaani wimbo wangu huu wa haufanani umefanya watu wasahau mapenzi mkoleni ;; amesema muba criss
katika hatua nyingine muba amesifu uwezo mkubwa alionao msanii mwenzake smile the genious
;; mara yakwanza wimbo huu nilikua nimefanya mwenyewe hadi kitikio lakini niliona kitikio kimefanana na wimbo wa boss wangu wa island record rico single uitwao forevor bado haujatoka tulibishana sana lakini baadae nikasema any way nikampigia simu smile tukabadilisha melody kikatoka kitu kizuri ;; alidai hitmaker huyo wa mapenzi mkoleni
mwisho muba aliwataka mashabiki kusubiri vitu vizuri kutoka kwake kuna project zinakuja ikiwemo ngoma aliofanya na barnaba pamoja na man tuzo
0 comments:
Post a Comment