Wiki mbili zilizopita kulikua na post kwenye mitandao ya kijamii zilizokua zinaashiria ugomvi kati ya huzza black na cool kaka
post hizo za majibishano zilisababisha watu wengi kujiuliza maswali pasipokua na majibu sasa leo huzza black amefunguka kuhusiana na kilichokua kinaendelea kati yake na coolkaka
' unajua watu wengi walidhania tuna beef mimi na coolkaka ukweli ni kwamba hatunatatizo mimi na cool kaka isopokua tunaproject yetu inaitwa umezingua soon itakamilika'
Hitmaker huyo wa my wife to be aliendelea kufunguka huku akidai yeye na cool kaka wanaheshimiana sana tofauti na watu wanavyowafikiria
katika hatua nyingine huzza b amewaomba mashabiki wakae tayari kupokea mzigo mpya uitwao umezingua ngoma hiyo imefanyika katika studio ya Jupiter record
Saturday, July 23, 2016
Home »
» WATU WENGI WALIDHANI BEEF UMEZINGUA PROJECT YETU MPYA= HUZZA BLACK
0 comments:
Post a Comment