Friday, October 5, 2012

RIHANA AACHANISHA WAPENZI.


Picha hii kipindi mtu mzima Chri brown akiwa na mpenzi wake Karrueche kabla awajaacha katika husiano wao wa kimapenzi kama unavyowaona wame shine.
Picha hii sasa ndipo ilileta maswali mengi sana kwa mashabiki wa muziki walijiuliza je mtu mzima Chris brown amerudiana na Rihanna katika Uhusiano wao baada ya kuonekana katika show ya Jay z ambayo ilifanya katika ukumbi wa Barclays Center.Sasa baada ya Karrueche kuona hivyo aliamua kuandika ujumbe katika ukurasa wake wa twitter

0 comments:

Post a Comment