
Stori kubwa kuhusu CHRIS BROWN siku za hivi karibuni ilikuwa ni kumuacha mpenzi wake KARUCHEE ambaye alianza kuwa naye baada ya kuachana na RIHANA mwaka 2009,sasa siku si nyingi iliripotiwa kuwa alimwacha Karrueche na kurudi kwa RIHANNA na leo tena kuna stori kwamba amemrudia Karrueche Wewe unapata picha gani juu ya hili na unalionaje suala hili Dondosha Comnts zako kupitia Blog yako hii pendwa.
0 comments:
Post a Comment