Wednesday, October 24, 2012

Rama dee amshauri Loard Eyez baada ya kupatwa na matatizo




Baada ya Loard Eyez kutuhumiwa Kumuibia Ommy Dimpoz vifaa vya gari lake, wasanii na wadau mbali mbali walitoa maoni yao kuhusu tuhuma hizi...lakini hivi karibuni kupitia ukurasa wa facebook, mkali wa R&B ambae yuko nchini Australia ametoa maoni yake kuhusu tukio hili ikiwa ni pamoja na kumshauri Mweusi Lord Eyez toka Arusha, Rama Dee ameandika stautus hii;

"loyd eyez naomba ubadilike kama ukishindwa kubadilika hapa basi,hakuna natakaye weza kukubadilisha hii imefikia sehemu mbaya na aibu hata kuiongelea,badilika ishi kama upo juu ya mika 20,uwe umeiba au haujaiba kutokana na utumiaji wako wa madawa ya kulevya lazima utahusishwa...saidia familia yako kwa kipaji ulicho barikiwa kweli inanisikitisha sana,mimi naomba niondolewe kwenye unafki wa kutetea ujinga,mchizi hali yake mbaya sio nzuri gari limewaka anahitaji msaada Alafu wewe dogo ommy kama ushahidi ikijulikana mchizi hajahusika juwa show zako zitaishia Chalinze ila pale Arusha baadae sana

0 comments:

Post a Comment