Monday, December 9, 2013

BONGO FLAVA IMEANZA KUZAA MATUNDA SOMA HAPA

Wakati wasanii wa Bongo Flava wanalalamika kua mziki huo wanaoufanya hauwalipi. Msanii wa Bongo flava na Bongo MovieShilole yeye kwake mambo yameonekana kua tofauti kupitia Instagram mkali huyo wa mauno ameonekana kuanza kupata matunda ya anachokifanya. Shilole amepost picha ya mjengo wake ambao upo katika hatua za mwisho kumalizika huko maeneo ya ya kimara jijini Dar. Na haya ndo maneno aliyoandika. MUNGU NISAIDIE NALIZE HII KITU ILI WATOTO WANGU WASIJE KUTATA SHIDA.

0 comments:

Post a Comment