Monday, December 9, 2013
FID Q NDANI YA RUBY
G
Regendari wa hip hop hapa Tanzania FARID KUBANDA ameamua kuzungusha Fedha zake katika Biashara ya madini. Uchunguzi ambao umefanywa na muandishi wetu uptowntz umeonesha kua FID Q ameingia katika biashara ya madini aina ya RUBY.
BONGO FLAVA IMEANZA KUZAA MATUNDA SOMA HAPA
Wakati wasanii wa Bongo Flava wanalalamika kua mziki huo wanaoufanya hauwalipi. Msanii wa Bongo flava na Bongo MovieShilole yeye kwake mambo yameonekana kua tofauti kupitia Instagram mkali huyo wa mauno ameonekana kuanza kupata matunda ya anachokifanya. Shilole amepost picha ya mjengo wake ambao upo katika hatua za mwisho kumalizika huko maeneo ya ya kimara jijini Dar. Na haya ndo maneno aliyoandika. MUNGU NISAIDIE NALIZE HII KITU ILI WATOTO WANGU WASIJE KUTATA SHIDA.
HIVI NDIVYO BABY MADAHA ALIVYOCHOMOKA KWENYE MTEGO WA MACHOKORAA. SOMA HAPA FULL STORY.
