Sunday, February 9, 2014

Hii ndo Video utata ya Shakira ft. Rihanna cant Remenber to forget you. itazame.



Hii ndio video ya Shakira iliyokosolewa na Mwanasiasa wa Colombia anaefahamika kwa jina la Marco
Fidel Ramirez
  aliedai kua inachochea usagaji na uvutaji sigara pia amesema kua inapelekea kuwaharibu watoto wa dogo kimaadili.

0 comments:

Post a Comment