
Monday, January 14, 2013
Wednesday, January 9, 2013
NANI MKALI?

JUMAPILI 13/01/2013 NDAN YA BONGO STAZ 9T CLUB BILICANAS NI SHOW KALI YA NANI MKALI WA STAGE KATI YA BABY J & SAY NAG,WAKISINDIKIZWA NA ALONEYM,FAN KISS,NANDY,MOMBA,SWET NEY & SMAIL..
Wamejipanga Kufunikana Wakiwa Sambamba na Madancer Wao waliojifua Vilivyo,Patakuwa hapatosh,Njoo Umshangilie Atakaefunika Stejini USIKOSE!!
KUMBUKA BABY J & SAY NAG WANA BIFU YA UKWELI "Dont Mis
NIKKI WA PILI NA NIKKI MBISHI NDANI YA BEEF ZITO

Alianza Nikki wa Pili aliyeandika:


Baada ya mlolongo mrefu wa vijembe kutoka kwa Mbishi hii ni miongini mwa tweet inayoonekana kuwaendea tena Weusi:
Mi
nikimchana mtu namtaja jina ila wao wakimchana mtu wanazunguka vichakani kutwa
nzima…hahahhaa…waoga bwana..am off the hook yow..