Monday, November 12, 2012

Diamond & Dimpoz wapata Ajali.




Jumamosi wiki iliyopita, msanii Diamond alipata ajali barabara ya chole alipokua akitokea Sleepway  kushoot video ya pini lake jipya lenye zengwe hatari tangu litoke (nataka kulewa).
"mida kama ya saa tatu tatu hivi kasoro,nikiwa narudi home, napita mitaa ya arabela mbele kuna Rav 4 mkono wa kulia kuna pikipiki nilikua nataka ku overtake pikipiki, nikataka niikwepe pikipiki kwapembeni kulikua na shimo, nikajaribu kurudi kwenye lami ndio nikaenda kugongana na Rav4..lakini hakuna mtu alieumia,"
"unajua mwisho wa mwaka tena huu, watu wanatoa kafara zao bahati mbaya zinatukuta watu kidogo manguli hazituumizi sana, wepesi wepesi wangeondoka mzima mzima kabisa wangebaki story tu alikufa na ajali, sababu hata ukitazama wanaopata ajali ni wale wanao hit, zinafeli hahhaaaaa i was just kidding." amesema  Diamond



Gari la Diamond
Pia leo hii  majira ya saa 7 mchana nimepokea habari kuhusu ajali nyengine inayo muhusisha msanii wa mziki wa kizazi kipya Omy Dimpoz maeneo ya millenium Tower pia Gari lake aina ya Rover 4 ambalo pia liliibiwa vizaa siku kadhaa nyuma zilizopita na ambae anatajwa kua msanii wa Hip hop toka Arusha Lord Eyez pia  Iimehusika.

0 comments:

Post a Comment